Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Qalam 68:21 فتنادوا مصبحين ٢١

Ukurasa 565 · Juzuu 29

فَتَنَادَوۡاْ
مُصۡبِحِينَ
٢١
Kisha asubuhi wakaitana.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

قَالُواْ سُبْحَنَ رَبّنَآ إِنَّا كُنَّا ظَلِمِينَ- فَأَقْبَلَ بَعْضُهُمْ عَلَى بَعْضٍ يَتَلَوَمُونَ- قَالُواْ يوَيْلَنَآ إِنَّا كُنَّا طَغِينَ- عَسَى رَبُّنَآ أَن يُبْدِلَنَا خَيْراً مّنْهَآ إِنَّآ إِلَى رَبّنَا رغِبُونَ- كَذَلِكَ الْعَذَابُ وَلَعَذَابُ الاْخِرَةِ أَكْبَرُ لَوْ كَانُواْ يَعْلَمُونَ-
قَالُواْ سُبْحَنَ رَبّنَآ إِنَّا كُنَّا ظَلِمِينَ- فَأَقْبَلَ بَعْضُهُمْ عَلَى بَعْضٍ يَتَلَوَمُونَ- قَالُواْ يوَيْلَنَآ إِنَّا كُنَّا طَغِينَ- عَسَى
…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

17. Hakika tuliwajaribu hawa kama tulivyowajaribu wale wenye shamba, walipoapa kwamba lazima watayavuna mazao yake itakapokuwa asubuhi. 18. Wala hawakusema: "Mwenyezi Mungu akipenda!" 19. Basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala! 20. Likawa kama usiku wa giza. 21. Kisha asubuhi wakaitana. 22. Ya kwamba: "Nendeni mapema kondeni mwenu ikiwa mnataka kuvuna." 23. Basi walikwenda huku wananong'onezana. 24. Ya kuwa: "Leo kamwe masikini mmoja asikuingilieni." 25. Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. 26. Basi walipoliona, wakasema: Hakika tumepotea! 27. Bali tumenyimwa! 28. Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu? 29. Wakasema: Ametakasika Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu. 30. Basi wakaelekeana kulaumiana wao kwa wao. 31. Wakasema: Ole wetu! Hakika sisi tulikuwa tumeikiuka mipaka! 32. Asaa Mola wetu Mlezi akatubadilishia lililo bora kuliko hili. Hakika sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. 33. Namna hivi yanakuwa mateso, na bila ya shaka mateso ya Akhera ni makubwa zaidi, laiti wangelijua!

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia