Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

73. Sura Al-Muzzammil

Soma na usikilize Sura Al-Muzzammil nzima (Sura 73), inayojumuisha aya 20. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 29), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
73:2
قم الليل الا قليلا ٢
قُمِ ٱلَّيْلَ إِلَّا قَلِيلًۭا ٢
قُمِ
ٱلَّيۡلَ
إِلَّا
قَلِيلٗا
٢
Kesha usiku kucha, ila kidogo tu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:3
نصفه او انقص منه قليلا ٣
نِّصْفَهُۥٓ أَوِ ٱنقُصْ مِنْهُ قَلِيلًا ٣
نِّصۡفَهُۥٓ
أَوِ
ٱنقُصۡ
مِنۡهُ
قَلِيلًا
٣
Nusu yake, au ipunguze kidogo. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:4
او زد عليه ورتل القران ترتيلا ٤
أَوْ زِدْ عَلَيْهِ وَرَتِّلِ ٱلْقُرْءَانَ تَرْتِيلًا ٤
أَوۡ
زِدۡ
عَلَيۡهِ
وَرَتِّلِ
ٱلۡقُرۡءَانَ
تَرۡتِيلًا
٤
Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:5
انا سنلقي عليك قولا ثقيلا ٥
إِنَّا سَنُلْقِى عَلَيْكَ قَوْلًۭا ثَقِيلًا ٥
إِنَّا
سَنُلۡقِي
عَلَيۡكَ
قَوۡلٗا
ثَقِيلًا
٥
ka Hakika Sisi tutakuteremshia uli nzito. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:6
ان ناشية الليل هي اشد وطيا واقوم قيلا ٦
إِنَّ نَاشِئَةَ ٱلَّيْلِ هِىَ أَشَدُّ وَطْـًۭٔا وَأَقْوَمُ قِيلًا ٦
إِنَّ
نَاشِئَةَ
ٱلَّيۡلِ
هِيَ
أَشَدُّ
وَطۡـٔٗا
وَأَقۡوَمُ
قِيلًا
٦
Hakika kuamka usiku kunawafikiana zaidi na moyo, na maneno yake yanatua zaidi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:7
ان لك في النهار سبحا طويلا ٧
إِنَّ لَكَ فِى ٱلنَّهَارِ سَبْحًۭا طَوِيلًۭا ٧
إِنَّ
لَكَ
فِي
ٱلنَّهَارِ
سَبۡحٗا
طَوِيلٗا
٧
Kwani hakika mchana una shughuli nyingi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:8
واذكر اسم ربك وتبتل اليه تبتيلا ٨
وَٱذْكُرِ ٱسْمَ رَبِّكَ وَتَبَتَّلْ إِلَيْهِ تَبْتِيلًۭا ٨
وَٱذۡكُرِ
ٱسۡمَ
رَبِّكَ
وَتَبَتَّلۡ
إِلَيۡهِ
تَبۡتِيلٗا
٨
Na lidhukuru jina la Mola wako Mlezi, na ujitolee kwake kwa ukamilifu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:9
رب المشرق والمغرب لا الاه الا هو فاتخذه وكيلا ٩
رَّبُّ ٱلْمَشْرِقِ وَٱلْمَغْرِبِ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ فَٱتَّخِذْهُ وَكِيلًۭا ٩
رَّبُّ
ٱلۡمَشۡرِقِ
وَٱلۡمَغۡرِبِ
لَآ
إِلَٰهَ
إِلَّا
هُوَ
فَٱتَّخِذۡهُ
وَكِيلٗا
٩
Mola Mlezi wa mashariki na magharibi, hapana mungu isipo kuwa Yeye, basi mfanye kuwa Mtegemewa wako. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:10
واصبر على ما يقولون واهجرهم هجرا جميلا ١٠
وَٱصْبِرْ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱهْجُرْهُمْ هَجْرًۭا جَمِيلًۭا ١٠
وَٱصۡبِرۡ
عَلَىٰ
مَا
يَقُولُونَ
وَٱهۡجُرۡهُمۡ
هَجۡرٗا
جَمِيلٗا
١٠
Na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
73:11
وذرني والمكذبين اولي النعمة ومهلهم قليلا ١١
وَذَرْنِى وَٱلْمُكَذِّبِينَ أُو۟لِى ٱلنَّعْمَةِ وَمَهِّلْهُمْ قَلِيلًا ١١
وَذَرۡنِي
وَٱلۡمُكَذِّبِينَ
أُوْلِي
ٱلنَّعۡمَةِ
وَمَهِّلۡهُمۡ
قَلِيلًا
١١
Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-MuddaththirTafsir ya Sura Al-Muzzammil

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia