Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Muuminun 23:57 ان الذين هم من خشية ربهم مشفقون ٥٧

Ukurasa 345 · Juzuu 18

إِنَّ
ٱلَّذِينَ
هُم
مِّنۡ
خَشۡيَةِ
رَبِّهِم
مُّشۡفِقُونَ
٥٧
Kwa hakika hao ambao kwa kumwogopa Mola wao Mlezi wananyenyekea.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Description of the People of Good Deeds

إِنَّ الَّذِينَ هُم مِّنْ خَشْيةِ رَبِّهِمْ مُّشْفِقُونَ

(Verily, those who live in awe for fear of their Lord;) means, even though they have reached the level of Ihsan and have faith and do righteous deeds, they are still in awe of Allah and fear Him and His hi

…

Description of the People of Good Deeds

إِنَّ الَّذِينَ هُم مِّنْ خَشْيةِ رَبِّهِمْ مُّشْفِقُونَ

(Verily, those who live in awe for fear of their Lord;)

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

51. Enyi Mitume! Kuleni vyakula vizuri na tendeni mema. Hakika Mimi ninajua vyema mnayoyatenda. 52. Na kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi. 53. Lakini walikatiana jambo lao mapande mbalimbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo. 54. Basi waache katika ghafla yao kwa muda. 55. Je, wanadhani ya kuwa kwa vile tunavyowapa mali na watoto. 56. Ndiyo tunawaharakishia heri? Lakini wenyewe hawatambui. 57. Kwa hakika hao ambao kwa kumwogopa Mola wao Mlezi wananyenyekea. 58. Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini. 59. Na wale ambao Mola wao Mlezi hawamshirikishi. 60. Na wale ambao wanatoa kile walichopewa, na hali nyoyo zao zinaogopa kwa kuwa watarejea kwa Mola wao Mlezi. 61. Basi wote hao ndio wanaokimbilia mambo ya heri, na ndio watakaotangulia kuyafikia.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia