Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

83. Sura Al-Mutaffifyn

Soma na usikilize Sura Al-Mutaffifyn nzima (Sura 83), inayojumuisha aya 36. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
83:2
الذين اذا اكتالوا على الناس يستوفون ٢
ٱلَّذِينَ إِذَا ٱكْتَالُوا۟ عَلَى ٱلنَّاسِ يَسْتَوْفُونَ ٢
ٱلَّذِينَ
إِذَا
ٱكۡتَالُواْ
عَلَى
ٱلنَّاسِ
يَسۡتَوۡفُونَ
٢
Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:3
واذا كالوهم او وزنوهم يخسرون ٣
وَإِذَا كَالُوهُمْ أَو وَّزَنُوهُمْ يُخْسِرُونَ ٣
وَإِذَا
كَالُوهُمۡ
أَو
وَّزَنُوهُمۡ
يُخۡسِرُونَ
٣
Na wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:4
الا يظن اولايك انهم مبعوثون ٤
أَلَا يَظُنُّ أُو۟لَـٰٓئِكَ أَنَّهُم مَّبْعُوثُونَ ٤
أَلَا
يَظُنُّ
أُوْلَٰٓئِكَ
أَنَّهُم
مَّبۡعُوثُونَ
٤
Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa . 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:5
ليوم عظيم ٥
لِيَوْمٍ عَظِيمٍۢ ٥
لِيَوۡمٍ
عَظِيمٖ
٥
Katika Siku iliyo kuu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:6
يوم يقوم الناس لرب العالمين ٦
يَوْمَ يَقُومُ ٱلنَّاسُ لِرَبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ ٦
يَوۡمَ
يَقُومُ
ٱلنَّاسُ
لِرَبِّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٦
Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:7
كلا ان كتاب الفجار لفي سجين ٧
كَلَّآ إِنَّ كِتَـٰبَ ٱلْفُجَّارِ لَفِى سِجِّينٍۢ ٧
كـَلَّآ
إِنَّ
كِتَٰبَ
ٱلۡفُجَّارِ
لَفِي
سِجِّينٖ
٧
Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:8
وما ادراك ما سجين ٨
وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا سِجِّينٌۭ ٨
وَمَآ
أَدۡرَىٰكَ
مَا
سِجِّينٞ
٨
Unajua nini Sijjin? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:9
كتاب مرقوم ٩
كِتَـٰبٌۭ مَّرْقُومٌۭ ٩
كِتَٰبٞ
مَّرۡقُومٞ
٩
Kitabu kilicho andikwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:10
ويل يوميذ للمكذبين ١٠
وَيْلٌۭ يَوْمَئِذٍۢ لِّلْمُكَذِّبِينَ ١٠
وَيۡلٞ
يَوۡمَئِذٖ
لِّلۡمُكَذِّبِينَ
١٠
Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
83:11
الذين يكذبون بيوم الدين ١١
ٱلَّذِينَ يُكَذِّبُونَ بِيَوْمِ ٱلدِّينِ ١١
ٱلَّذِينَ
يُكَذِّبُونَ
بِيَوۡمِ
ٱلدِّينِ
١١
Ambao wanaikadhibisha Siku ya Malipo. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-InshiqaqTafsir ya Sura Al-Mutaffifyn

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia