Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

77. Sura Al-Mursalat

Soma na usikilize Sura Al-Mursalat nzima (Sura 77), inayojumuisha aya 50. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 29), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
77:1
والمرسلات عرفا ١
وَٱلْمُرْسَلَـٰتِ عُرْفًۭا ١
وَٱلۡمُرۡسَلَٰتِ
عُرۡفٗا
١
Naapa kwa zinazo tumwa kwa upole! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:2
فالعاصفات عصفا ٢
فَٱلْعَـٰصِفَـٰتِ عَصْفًۭا ٢
فَٱلۡعَٰصِفَٰتِ
عَصۡفٗا
٢
Na zinazo vuma kwa kasi! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:3
والناشرات نشرا ٣
وَٱلنَّـٰشِرَٰتِ نَشْرًۭا ٣
وَٱلنَّٰشِرَٰتِ
نَشۡرٗا
٣
Na zikaeneza maeneo yote! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:4
فالفارقات فرقا ٤
فَٱلْفَـٰرِقَـٰتِ فَرْقًۭا ٤
فَٱلۡفَٰرِقَٰتِ
فَرۡقٗا
٤
Na zinazo farikisha zikatawanya! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:5
فالملقيات ذكرا ٥
فَٱلْمُلْقِيَـٰتِ ذِكْرًا ٥
فَٱلۡمُلۡقِيَٰتِ
ذِكۡرًا
٥
Na zinazo peleka mawaidha! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:6
عذرا او نذرا ٦
عُذْرًا أَوْ نُذْرًا ٦
عُذۡرًا
أَوۡ
نُذۡرًا
٦
Kwa kuudhuru au kuonya, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:7
انما توعدون لواقع ٧
إِنَّمَا تُوعَدُونَ لَوَٰقِعٌۭ ٧
إِنَّمَا
تُوعَدُونَ
لَوَٰقِعٞ
٧
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka yatakuwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:8
فاذا النجوم طمست ٨
فَإِذَا ٱلنُّجُومُ طُمِسَتْ ٨
فَإِذَا
ٱلنُّجُومُ
طُمِسَتۡ
٨
Wakati nyota zitakapo futwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:9
واذا السماء فرجت ٩
وَإِذَا ٱلسَّمَآءُ فُرِجَتْ ٩
وَإِذَا
ٱلسَّمَآءُ
فُرِجَتۡ
٩
Na mbingu zitakapo pasuliwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
77:10
واذا الجبال نسفت ١٠
وَإِذَا ٱلْجِبَالُ نُسِفَتْ ١٠
وَإِذَا
ٱلۡجِبَالُ
نُسِفَتۡ
١٠
Na milima itakapo peperushwa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: An-NabaaTafsir ya Sura Al-Mursalat

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia