Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Mursalat 77:26 احياء وامواتا ٢٦

Ukurasa 581 · Juzuu 29

أَحۡيَآءٗ
وَأَمۡوَٰتٗا
٢٦
Walio hai na maiti?
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Call to contemplate the various Manifestations of Allah's Power

Allah says,

أَلَمْ نُهْلِكِ الاٌّوَّلِينَ

(Did We not destroy the ancients?) meaning, those who rejected the Messengers and opposed what they came to them with.

ثُمَّ نُتْبِعُهُمُ ٱلَْٔاخِرِينَ

(So shall We make later generations to

…

The Call to contemplate the various Manifestations of Allah's Power

Allah says,

أَلَمْ نُهْلِكِ الاٌّوَّلِينَ

(Did We not destroy the ancients?) meani

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

25. Kwani hatukuifanya ardhi yenye kukusanya. 26. Walio hai na maiti? 27. Na ndani yake tukaweka milima mirefu yenye kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu? 28. Ole wao siku hiyo hao wanaokanusha! 29. Nendeni kwenye adhabu mliyokuwa mkiikanusha! 30. Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu! 31. Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako. 32. Hakika Moto huo unatoa macheche kama majumba! 33. Kama kwamba ni ngamia wa rangi ya manjano! 34. Ole wao siku hiyo hao wanaokanusha! 35. Hii ni siku ambayo hawatatamka kitu. 36. Wala hawataruhusiwa kutoa udhuru. 37. Ole wao siku hiyo hao waliokanusha! 38. Hii ndiyo siku ya kupambanua. Tumekukusanyeni nyinyi na waliotangulia. 39. Ikiwa mnayo hila, nifanyieni hila Mimi! 40. Ole wao siku hiyo hao waliokanusha!

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia