Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Muddaththir 74:46 وكنا نكذب بيوم الدين ٤٦

Ukurasa 576 · Juzuu 29

وَكُنَّا
نُكَذِّبُ
بِيَوۡمِ
ٱلدِّينِ
٤٦
Na tulikuwa tukiikanusha Siku ya Malipo.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

What will take place in the Discussion between the People of Paradise and the People of the Hellfire

Allah informs that,

كُلُّ نَفْسٍ بِمَا كَسَبَتْ رَهِينَةٌ

(Every person is a pledge for what he has earned), meaning bound to his deed on the Day of Judgement. Ibn `Abbas and others have said this.

إ

…

What will take place in the Discussion between the People of Paradise and the People of the Hellfire

Allah informs that,

كُلُّ نَفْسٍ بِمَا كَسَبَتْ ر

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

32. Hasha! Naapa kwa mwezi! 33. Na kwa usiku unapokucha! 34. Na kwa asubuhi inapopambazuka! 35. Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa! 36. Ni onyo kwa binaadamu. 37. Kwa anayetaka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa. 38. Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyoyachuma. 39. Isipokuwa watu wa kuliani. 40. Hao watakuwa katika Mabustani, wawe wanaulizana 41. Habari za wakosefu: 42. Ni nini kilichokupelekeni Motoni? 43. Waseme: Hatukuwa miongoni mwa waliokuwa wakisali. 44. Wala hatukuwa tukiwalisha masikini. 45. Na tulikuwa tukizama pamoja na waliozama katika maovu. 46. Na tulikuwa tukiikanusha Siku ya Malipo. 47. Mpaka yakini (yaani mauti) ilipotufikia. 48. Basi hautawafaa kitu uombezi wa waombezi.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia