Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Muddaththir 74:22 ثم عبس وبسر ٢٢

Ukurasa 576 · Juzuu 29

ثُمَّ
عَبَسَ
وَبَسَرَ
٢٢
Kisha akakunja kipaji, na akanuna.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

A Threat for Whoever claims that the Qur'an is Magic

Allah threatens this wicked person whom He has favored with the blessings of this world, yet he is ungrateful for the blessings of Allah and he meets them with disbelief (in Allah) and rejection of His Ayat. He invents lies against Allah's Ayat and

…

A Threat for Whoever claims that the Qur'an is Magic

Allah threatens this wicked person whom He has favored with the blessings of this world, yet he is

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

8. Basi litakapopulizwa baragumu. 9. Siku hiyo, basi, itakuwa siku ngumu. 10. Kwa makafiri haitakuwa nyepesi. 11. Niache peke yangu na niliyemuumba. 12. Na nikamjaalia awe na mali mengi. 13. Na wana wanaoonekana. 14. Na nikamtegenezea mambo vizuri kabisa. 15. Kisha anatumai nimzidishie! 16. Hasha! Kwani hakika yeye alikuwa akizifanyia ukaidi Aya zetu! 17. Nitamtesa kwa mateso yasiowezekana. 18. Kwani hakika yeye alifikiri na akapima. 19. Basi ameangamia! Vipi alivyopima! 20. Tena ameangamia! Vipi alivyopima! 21. Kisha akatazama. 22. Kisha akakunja kipaji, na akanuna. 23. Kisha akaipa kisogo haki, na akatakabari. 24. Na akasema: Haya si chochote ila ni uchawi ulionukuliwa. 25. Haya si chochote ila kauli ya binadamu. 26. Nitakuja mtia kwenye Moto wa Saqar. 27. Na nini kitakujuulisha ni nini huo Moto wa Saqar? 28. Haubakishi wala hausazi. 29. Unababua ngozi iwe nyeusi. 30. Juu yake wapo kumi na tisa. 31. Na hatukuwafanya walinzi wa Motoni ila ni Malaika, wala hatukuifanya idadi yao hiyo ila kuwatatanisha waliokufuru, wapate kuwa na yakini waliopewa Kitabu, na wazidi Imani wale walioamini, wala wasiwe na shaka waliopewa Kitabu na Waumini, na wapate kusema wenye maradhi katika nyoyo zao na makafiri: "Mwenyezi Mungu amekusudia nini kwa mfano huu?" Ndiyo kama hivyo Mwenyezi Mungu humwacha apotee amtakaye, na humwongoa amtakaye. Na hapana yeyote anayejua majeshi ya Mola wako Mlezi ila Yeye tu. Na haya si chochote ila ni ukumbusho kwa binadamu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia