Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

70. Sura Al-Ma'arij

Soma na usikilize Sura Al-Ma'arij nzima (Sura 70), inayojumuisha aya 44. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 29), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
70:8
يوم تكون السماء كالمهل ٨
يَوْمَ تَكُونُ ٱلسَّمَآءُ كَٱلْمُهْلِ ٨
يَوۡمَ
تَكُونُ
ٱلسَّمَآءُ
كَٱلۡمُهۡلِ
٨
Siku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:9
وتكون الجبال كالعهن ٩
وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٩
وَتَكُونُ
ٱلۡجِبَالُ
كَٱلۡعِهۡنِ
٩
Na milima itakuwa kama sufi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:10
ولا يسال حميم حميما ١٠
وَلَا يَسْـَٔلُ حَمِيمٌ حَمِيمًۭا ١٠
وَلَا
يَسۡـَٔلُ
حَمِيمٌ
حَمِيمٗا
١٠
Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:11
يبصرونهم يود المجرم لو يفتدي من عذاب يوميذ ببنيه ١١
يُبَصَّرُونَهُمْ ۚ يَوَدُّ ٱلْمُجْرِمُ لَوْ يَفْتَدِى مِنْ عَذَابِ يَوْمِئِذٍۭ بِبَنِيهِ ١١
يُبَصَّرُونَهُمۡۚ
يَوَدُّ
ٱلۡمُجۡرِمُ
لَوۡ
يَفۡتَدِي
مِنۡ
عَذَابِ
يَوۡمِئِذِۭ
بِبَنِيهِ
١١
Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefu lau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa fidia wanawe, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:12
وصاحبته واخيه ١٢
وَصَـٰحِبَتِهِۦ وَأَخِيهِ ١٢
وَصَٰحِبَتِهِۦ
وَأَخِيهِ
١٢
Na mkewe, na nduguye, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:13
وفصيلته التي توويه ١٣
وَفَصِيلَتِهِ ٱلَّتِى تُـْٔوِيهِ ١٣
وَفَصِيلَتِهِ
ٱلَّتِي
تُـٔۡوِيهِ
١٣
Na jamaa zake walio kuwa wakimkimu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:14
ومن في الارض جميعا ثم ينجيه ١٤
وَمَن فِى ٱلْأَرْضِ جَمِيعًۭا ثُمَّ يُنجِيهِ ١٤
وَمَن
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
جَمِيعٗا
ثُمَّ
يُنجِيهِ
١٤
Na wote waliomo duniani, kisha aokoke yeye. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:15
كلا انها لظى ١٥
كَلَّآ ۖ إِنَّهَا لَظَىٰ ١٥
كـَلَّآۖ
إِنَّهَا
لَظَىٰ
١٥
La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:16
نزاعة للشوى ١٦
نَزَّاعَةًۭ لِّلشَّوَىٰ ١٦
نَزَّاعَةٗ
لِّلشَّوَىٰ
١٦
Unao babua ngozi ya kichwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
70:17
تدعو من ادبر وتولى ١٧
تَدْعُوا۟ مَنْ أَدْبَرَ وَتَوَلَّىٰ ١٧
تَدۡعُواْ
مَنۡ
أَدۡبَرَ
وَتَوَلَّىٰ
١٧
Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: NuhTafsir ya Sura Al-Ma'arij

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia