Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Ma'arij 70:21 واذا مسه الخير منوعا ٢١

Ukurasa 569 · Juzuu 29

وَإِذَا
مَسَّهُ
ٱلۡخَيۡرُ
مَنُوعًا
٢١
Na inapomgusa kheri huizuilia.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Man is Impatient Allah informs about man and his inclination to corrupt his behavior.

Allah says,

إِنَّ الإِنسَنَ خُلِقَ هَلُوعاً

(Verily, man was created very impatient;) Then, Allah explains this statement by saying,

إِذَا مَسَّهُ الشَّرُّ جَزُوعاً

(Apprehensive when evil touches him;) meaning, wheneve

…

Man is Impatient Allah informs about man and his inclination to corrupt his behavior.

Allah says,

إِنَّ الإِنسَنَ خُلِقَ هَلُوعاً

(Verily, man was create

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

19. Hakika mtu ameumbwa na papara. 20. Inapomgusa shari hupapatika. 21. Na inapomgusa kheri huizuilia. 22. Isipokuwa wanaosali. 23. Ambao wanadumisha Sala zao. 24. Na ambao katika mali yao iko haki maalumu. 25. Kwa mwenye kuomba na anayejizuilia kuomba; 26. Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo. 27. Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi. 28. Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuwa na amani nayo. 29. Na ambao wanahifadhi tupu zao. 30. Isipokuwa kwa wake zao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi. 31. Lakini wanaotaka kinyume cha haya, basi hao ndio wanaoruka mipaka. 32. Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao, 33. Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao, 34. Na ambao wanazihifadhi Sala zao. 35. Hao ndio watakaoheshimiwa katika Bustani ya mbinguni.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia