Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Hijr 15:95 انا كفيناك المستهزيين ٩٥

Ukurasa 267 · Juzuu 14

إِنَّا
كَفَيۡنَٰكَ
ٱلۡمُسۡتَهۡزِءِينَ
٩٥
Hakika Sisi tunatosha kukukinga kutokana na wanaofanya stihizai.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Command to proclaim the Truth openly

Allah commanded His Messenger to convey what He sent him with, to proclaim and spread the Message, which means confronting the idolators with it. Ibn `Abbas said that the Ayah,

فَاصْدَعْ بِمَا تُؤْمَرُ

(Therefore openly proclaim that what you have been commanded

…

The Command to proclaim the Truth openly

Allah commanded His Messenger to convey what He sent him with, to proclaim and spread the Message, which means

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

87. Na hakika tumekupa (aya) saba zinazosomwa mara kwa mara, na Qur-ani Tukufu. 88. Kamwe usivinyoshee macho yako vitu tulivyowastarehesha kwavyo makundi fulani kati yao, wala usiwahuzunikie. Na wainamishie bawa lako (la huruma) Waumini. 89. Na sema: Hakika mimi ndiye mwonyaji mwenye kubainisha. 90. Kama hivyo tuliwateremshia waliogawa. 91. Ambao waliifanya Qur-ani vipande vipande. 92. Basi ninaapa kwa Mola wako Mlezi! Lazima tutawauliza wote. 93. Kuhusu yale waliyokuwa wakiyatenda. 94. Basi wewe yadhihirishe yale uliyoamrishwa, na jitenge mbali na washirikina. 95. Hakika Sisi tunatosha kukukinga kutokana na wanaofanya stihizai. 96. Ambao wanafanya mungu mwingine kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi watakujajua! 97. Na Sisi tunajua kwa hakika kuwa wewe kifua chako kinaona dhiki kwa hayo wayasemayo. 98. Basi mtakase Mola wako Mlezi kwa kumsifu, na uwe miongoni mwa wanaomsujudia. 99. Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia