Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Hijr 15:86 ان ربك هو الخلاق العليم ٨٦

Ukurasa 266 · Juzuu 14

إِنَّ
رَبَّكَ
هُوَ
ٱلۡخَلَّٰقُ
ٱلۡعَلِيمُ
٨٦
Hakika Mola wako Mlezi ndiye Muumbaji, Mwenye kujua zaidi.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The World has been created for some Purpose, then the Hour will come

Allah says,

وَمَا خَلَقْنَا السَّمَوَتِ وَالاٌّرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَآ إِلاَّ بِالْحَقِّ وَإِنَّ السَّاعَةَ لآتِيَةٌ

(And We did not create the heavens and the earth and all that is between them except with the truth, and the Hour is s

…

The World has been created for some Purpose, then the Hour will come

Allah says,

وَمَا خَلَقْنَا السَّمَوَتِ وَالاٌّرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَآ إِلاَّ بِالْح
…
Tazama tafsirs

Soma related-content

80. Na bila ya shaka wakazi wa Hijr waliwakadhibisha Mitume. 81. Na tuliwaletea ishara zetu, nao wakawa wanazipa migongo. 82. Nao walikuwa wakichonga majumba katika milima kwa amani. 83. Basi ukelele ukawatwaa asubuhi. 84. Na hayakuwafaa yale waliyokuwa wakiyachuma. 85. Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo kati yake isipokuwa kwa haki. Na hakika Saa ya Kiyama itafika. Basi samehe msamaha mzuri. 86. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Muumbaji, Mwenye kujua zaidi.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia