Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Hijr 15:74 فجعلنا عاليها سافلها وامطرنا عليهم حجارة من سجيل ٧٤

Ukurasa 266 · Juzuu 14

فَجَعَلۡنَا
عَٰلِيَهَا
سَافِلَهَا
وَأَمۡطَرۡنَا
عَلَيۡهِمۡ
حِجَارَةٗ
مِّن
سِجِّيلٍ
٧٤
Kwa hivyo, tukaugeuza mji huo juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa kutoka Motoni.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Destruction of the People of Lut

Allah said;

فَأَخَذَتْهُمُ الصَّيْحَةُ

(So the Sayhah overtook them) This is the piercing sound that came to them when the sun rose, which was accompanied by the city being flipped upside down, and stones of baked clay (As-Sijjil) raining down upon them. The discuss

…

The Destruction of the People of Lut

Allah said;

فَأَخَذَتْهُمُ الصَّيْحَةُ

(So the Sayhah overtook them) This is the piercing sound that came to them wh

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

61. Basi wajumbe hao walipowajia watu wa familia ya Lut'. 62. (Lut') Alisema: Hakika nyinyi ni kaumu msiojulikana. 63. Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyokuwa wakiyafanyia shaka. 64. Na tumekujia kwa Haki, na hakika sisi ni wakweli. 65. Basi ondoka na ahali zako usiku ungalipo, nawe ufuate nyuma yao, wala yeyote kati yenu asigeuke nyuma. Na mwende huko mnakoamrishwa. 66. Na tukamfunulia hukumu hiyo, ya kwamba hata wa mwisho wao hao ikifika asubuhi atakuwa amekwishakatiliwa mbali. 67. Na wakaja watu wa mji huo huku wamefurahi mno. 68. Akasema: Hakika hawa ni wageni wangu. Basi msinifedheheshe. 69. Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi. 70. Wakasema: Kwani hatukukukataza (kuwakaribisha) walimwengu hawa? 71. Akasema, "Hawa binti zangu (waoeni), ikiwa nyinyi ni watendaji." 72. Ninaapa kwa uhai wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo. 73. Basi ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa. 74. Kwa hivyo, tukaugeuza mji huo juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa kutoka Motoni. 75. Hakika katika hayo zipo ishara kwa wanaotafakari na kuzingatia. 76. Na hakika miji hii ipo kwenye njia wazi inayopitiwa. 77. Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini. 78. Na hakika watu wa Kichakani walikuwa madhalimu. 79. Kwa hivyo tukawaadhibu. Na hakika miji miwili hii iko kwenye njia iliyo wazi.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia