Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Haqqah 69:52 فسبح باسم ربك العظيم ٥٢

Ukurasa 568 · Juzuu 29

فَسَبِّحۡ
بِٱسۡمِ
رَبِّكَ
ٱلۡعَظِيمِ
٥٢
Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu.
reading-goal:continue-reading

Soma q-and-a.tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

If the Prophet forged anything against Allah, then Allah would punish him

Allah says,

وَلَوْ تَقَوَّلَ عَلَيْنَا

(And if he had forged a false saying concerning Us,) meaning, 'if Muhammad forged something against Us, as they claim, and added or removed anything from the Message, or said anything fro

…

If the Prophet forged anything against Allah, then Allah would punish him

Allah says,

وَلَوْ تَقَوَّلَ عَلَيْنَا

(And if he had forged a false saying

…
Tazama tafsirs

Soma related-content

38. Basi ninaapa kwa mnavyoviona. 39. Na msivyoviona. 40. Kwa hakika hii ni kauli iliyoletwa na Mjumbe mwenye heshima. 41. Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayoyaamini. 42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayoyakumbuka. 43. Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 44. Na lau kama angelituzulia baadhi ya maneno tu. 45. Bila ya shaka tungelimshika kwa mkono wa kulia. 46. Kisha kwa hakika tungelimkata mshipa mkubwa wa moyo! 47. Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeliweza kutuzuia kumfikia. 48. Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wacha Mungu. 49. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanaokadhibisha. 50. Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanaokataa. 51. Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini. 52. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

reading-goal:continue-reading

Maelezo na Tafakari

reflection-not-available

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia