Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

105. Sura Al-Fyl

Soma na usikilize Sura Al-Fyl nzima (Sura 105), inayojumuisha aya 5. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
105:2
الم يجعل كيدهم في تضليل ٢
أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِى تَضْلِيلٍۢ ٢
أَلَمۡ
يَجۡعَلۡ
كَيۡدَهُمۡ
فِي
تَضۡلِيلٖ
٢
Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
105:3
وارسل عليهم طيرا ابابيل ٣
وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ ٣
وَأَرۡسَلَ
عَلَيۡهِمۡ
طَيۡرًا
أَبَابِيلَ
٣
Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
105:4
ترميهم بحجارة من سجيل ٤
تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍۢ مِّن سِجِّيلٍۢ ٤
تَرۡمِيهِم
بِحِجَارَةٖ
مِّن
سِجِّيلٖ
٤
Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
105:5
فجعلهم كعصف ماكول ٥
فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍۢ مَّأْكُولٍۭ ٥
فَجَعَلَهُمۡ
كَعَصۡفٖ
مَّأۡكُولِۭ
٥
Akawafanya kama majani yaliyo liwa! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: QurayshTafsir ya Sura Al-Fyl

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia