Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

89. Sura Al-Fajr

Soma na usikilize Sura Al-Fajr nzima (Sura 89), inayojumuisha aya 30. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
89:7
ارم ذات العماد ٧
إِرَمَ ذَاتِ ٱلْعِمَادِ ٧
إِرَمَ
ذَاتِ
ٱلۡعِمَادِ
٧
Wa Iram, wenye majumba marefu? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:8
التي لم يخلق مثلها في البلاد ٨
ٱلَّتِى لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِى ٱلْبِلَـٰدِ ٨
ٱلَّتِي
لَمۡ
يُخۡلَقۡ
مِثۡلُهَا
فِي
ٱلۡبِلَٰدِ
٨
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:9
وثمود الذين جابوا الصخر بالواد ٩
وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُوا۟ ٱلصَّخْرَ بِٱلْوَادِ ٩
وَثَمُودَ
ٱلَّذِينَ
جَابُواْ
ٱلصَّخۡرَ
بِٱلۡوَادِ
٩
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:10
وفرعون ذي الاوتاد ١٠
وَفِرْعَوْنَ ذِى ٱلْأَوْتَادِ ١٠
وَفِرۡعَوۡنَ
ذِي
ٱلۡأَوۡتَادِ
١٠
Na Firauni mwenye vigingi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:11
الذين طغوا في البلاد ١١
ٱلَّذِينَ طَغَوْا۟ فِى ٱلْبِلَـٰدِ ١١
ٱلَّذِينَ
طَغَوۡاْ
فِي
ٱلۡبِلَٰدِ
١١
Ambao walifanya jeuri katika nchi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:12
فاكثروا فيها الفساد ١٢
فَأَكْثَرُوا۟ فِيهَا ٱلْفَسَادَ ١٢
فَأَكۡثَرُواْ
فِيهَا
ٱلۡفَسَادَ
١٢
Wakakithirisha humo ufisadi? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:13
فصب عليهم ربك سوط عذاب ١٣
فَصَبَّ عَلَيْهِمْ رَبُّكَ سَوْطَ عَذَابٍ ١٣
فَصَبَّ
عَلَيۡهِمۡ
رَبُّكَ
سَوۡطَ
عَذَابٍ
١٣
Basi Mola wako Mlezi aliwapiga mjeledi wa adhabu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:14
ان ربك لبالمرصاد ١٤
إِنَّ رَبَّكَ لَبِٱلْمِرْصَادِ ١٤
إِنَّ
رَبَّكَ
لَبِٱلۡمِرۡصَادِ
١٤
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:15
فاما الانسان اذا ما ابتلاه ربه فاكرمه ونعمه فيقول ربي اكرمن ١٥
فَأَمَّا ٱلْإِنسَـٰنُ إِذَا مَا ٱبْتَلَىٰهُ رَبُّهُۥ فَأَكْرَمَهُۥ وَنَعَّمَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّىٓ أَكْرَمَنِ ١٥
فَأَمَّا
ٱلۡإِنسَٰنُ
إِذَا
مَا
ٱبۡتَلَىٰهُ
رَبُّهُۥ
فَأَكۡرَمَهُۥ
وَنَعَّمَهُۥ
فَيَقُولُ
رَبِّيٓ
أَكۡرَمَنِ
١٥
Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi amenikirimu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
89:16
واما اذا ما ابتلاه فقدر عليه رزقه فيقول ربي اهانن ١٦
وَأَمَّآ إِذَا مَا ٱبْتَلَىٰهُ فَقَدَرَ عَلَيْهِ رِزْقَهُۥ فَيَقُولُ رَبِّىٓ أَهَـٰنَنِ ١٦
وَأَمَّآ
إِذَا
مَا
ٱبۡتَلَىٰهُ
فَقَدَرَ
عَلَيۡهِ
رِزۡقَهُۥ
فَيَقُولُ
رَبِّيٓ
أَهَٰنَنِ
١٦
Na ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-BaladTafsir ya Sura Al-Fajr

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia