Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

90. Sura Al-Balad

Soma na usikilize Sura Al-Balad nzima (Sura 90), inayojumuisha aya 20. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
90:11
فلا اقتحم العقبة ١١
فَلَا ٱقْتَحَمَ ٱلْعَقَبَةَ ١١
فَلَا
ٱقۡتَحَمَ
ٱلۡعَقَبَةَ
١١
Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:12
وما ادراك ما العقبة ١٢
وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْعَقَبَةُ ١٢
وَمَآ
أَدۡرَىٰكَ
مَا
ٱلۡعَقَبَةُ
١٢
Na nini kitakujuvya ni nini njia ya vikwazo vya milimani? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:13
فك رقبة ١٣
فَكُّ رَقَبَةٍ ١٣
فَكُّ
رَقَبَةٍ
١٣
Kumkomboa mtumwa; 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:14
او اطعام في يوم ذي مسغبة ١٤
أَوْ إِطْعَـٰمٌۭ فِى يَوْمٍۢ ذِى مَسْغَبَةٍۢ ١٤
أَوۡ
إِطۡعَٰمٞ
فِي
يَوۡمٖ
ذِي
مَسۡغَبَةٖ
١٤
Au kumlisha siku ya njaa 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:15
يتيما ذا مقربة ١٥
يَتِيمًۭا ذَا مَقْرَبَةٍ ١٥
يَتِيمٗا
ذَا
مَقۡرَبَةٍ
١٥
Yatima aliye jamaa, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:16
او مسكينا ذا متربة ١٦
أَوْ مِسْكِينًۭا ذَا مَتْرَبَةٍۢ ١٦
أَوۡ
مِسۡكِينٗا
ذَا
مَتۡرَبَةٖ
١٦
Au masikini aliye vumbini. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:17
ثم كان من الذين امنوا وتواصوا بالصبر وتواصوا بالمرحمة ١٧
ثُمَّ كَانَ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْمَرْحَمَةِ ١٧
ثُمَّ
كَانَ
مِنَ
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَتَوَاصَوۡاْ
بِٱلصَّبۡرِ
وَتَوَاصَوۡاْ
بِٱلۡمَرۡحَمَةِ
١٧
Tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:18
اولايك اصحاب الميمنة ١٨
أُو۟لَـٰٓئِكَ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَيْمَنَةِ ١٨
أُوْلَٰٓئِكَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَيۡمَنَةِ
١٨
Hao ndio watu wa kheri wa kuliani. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:19
والذين كفروا باياتنا هم اصحاب المشامة ١٩
وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ بِـَٔايَـٰتِنَا هُمْ أَصْحَـٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ ١٩
وَٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
بِـَٔايَٰتِنَا
هُمۡ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ
١٩
Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
90:20
عليهم نار موصدة ٢٠
عَلَيْهِمْ نَارٌۭ مُّؤْصَدَةٌۢ ٢٠
عَلَيۡهِمۡ
نَارٞ
مُّؤۡصَدَةُۢ
٢٠
Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Ash-ShamsTafsir ya Sura Al-Balad

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia