Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Al-Anbiyaa 21:53 قالوا وجدنا اباءنا لها عابدين ٥٣

Ukurasa 326 · Juzuu 17

قَالُواْ
وَجَدۡنَآ
ءَابَآءَنَا
لَهَا
عَٰبِدِينَ
٥٣
Wakasema: Tuliwakuta baba zetu wakiyaabudu.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Story of Ibrahim and his People

Allah tells us about His close Friend Ibrahim, peace be upon him, and how He bestowed upon him guidance aforetime, i.e., from an early age He inspired him with truth and evidence against his people, as Allah says elsewhere:

وَتِلْكَ حُجَّتُنَآ ءَاتَيْنَهَآ إِبْرَهِي
…

The Story of Ibrahim and his People

Allah tells us about His close Friend Ibrahim, peace be upon him, and how He bestowed upon him guidance aforetime,

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

51. Na hakika tulikwishampa Ibrahim uongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua. 52. Alipomwambia baba yake na watu wake: Ni nini haya masanamu mnayoshughulika kuyaabudu? 53. Wakasema: Tuliwakuta baba zetu wakiyaabudu. 54. Akasema: Bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika upotovu ulio dhahiri. 55. Wakasema: Je, umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu? 56. Akasema: Bali Mola wenu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi ambaye ndiye aliyeziumba. Na mimi ni katika wenye kuyashuhudia hayo. 57. Na ninaapa kwa Mwenyezi Mungu! Nitayafanyia vitimbi masanamu yenu haya baada ya mkishageuka kwenda zenu. 58. Basi akayavunja vipande vipande, ila kubwa lao, ili wao walirudie. 59. Wakasema: Ni nani aliyeifanyia haya miungu yetu? Hakika yeye ni katika waliodhulumu. 60. Wakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim. 61. Wakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, ili wapate kumshuhudia! 62. Wakasema: Je! Wewe umeifanyia haya miungu yetu, ewe Ibrahim? 63. Akasema: Bali amefanya hayo huyu mkubwa wao. Basi waulizeni ikiwa wanaweza kutamka. 64. Basi wakajirudia, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhalimu! 65. Kisha wakarejea kwenye ule ule upotovu wao wakasema: Hakika wewe unajua kwamba hawa hawasemi. 66. Akasema: Basi nyinyi mnawaabudu wasiokuwa Mwenyezi Mungu wasiowafaa kitu wala kuwadhuru? 67. Aibu yenu nyinyi na hivyo mnavyoviabudu badala ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini? 68. Wakasema: Mchomeni moto, na muinusuru miungu yenu, ikiwa nyinyi ni watendao jambo! 69. Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa Ibrahim! 70. Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio waliohasiri zaidi. 71. Na tukamwokoa yeye na Luuti, tukawapeleka kwenye nchi tuliyoibariki kwa ajili ya walimwengu wote.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia