Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

100. Sura Al-Aadiyat

Soma na usikilize Sura Al-Aadiyat nzima (Sura 100), inayojumuisha aya 11. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
100:2
فالموريات قدحا ٢
فَٱلْمُورِيَـٰتِ قَدْحًۭا ٢
فَٱلۡمُورِيَٰتِ
قَدۡحٗا
٢
Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:3
فالمغيرات صبحا ٣
فَٱلْمُغِيرَٰتِ صُبْحًۭا ٣
فَٱلۡمُغِيرَٰتِ
صُبۡحٗا
٣
Wakishambulia wakati wa asubuhi, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:4
فاثرن به نقعا ٤
فَأَثَرْنَ بِهِۦ نَقْعًۭا ٤
فَأَثَرۡنَ
بِهِۦ
نَقۡعٗا
٤
Huku wakitimua vumbi, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:5
فوسطن به جمعا ٥
فَوَسَطْنَ بِهِۦ جَمْعًا ٥
فَوَسَطۡنَ
بِهِۦ
جَمۡعًا
٥
Na wakijitoma kati ya kundi, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:6
ان الانسان لربه لكنود ٦
إِنَّ ٱلْإِنسَـٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٌۭ ٦
إِنَّ
ٱلۡإِنسَٰنَ
لِرَبِّهِۦ
لَكَنُودٞ
٦
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:7
وانه على ذالك لشهيد ٧
وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌۭ ٧
وَإِنَّهُۥ
عَلَىٰ
ذَٰلِكَ
لَشَهِيدٞ
٧
Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:8
وانه لحب الخير لشديد ٨
وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلْخَيْرِ لَشَدِيدٌ ٨
وَإِنَّهُۥ
لِحُبِّ
ٱلۡخَيۡرِ
لَشَدِيدٌ
٨
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:9
۞ افلا يعلم اذا بعثر ما في القبور ٩
۞ أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِى ٱلْقُبُورِ ٩
۞ أَفَلَا
يَعۡلَمُ
إِذَا
بُعۡثِرَ
مَا
فِي
ٱلۡقُبُورِ
٩
Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:10
وحصل ما في الصدور ١٠
وَحُصِّلَ مَا فِى ٱلصُّدُورِ ١٠
وَحُصِّلَ
مَا
فِي
ٱلصُّدُورِ
١٠
Na yakakusanywa yaliomo vifuani? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
100:11
ان ربهم بهم يوميذ لخبير ١١
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍۢ لَّخَبِيرٌۢ ١١
إِنَّ
رَبَّهُم
بِهِمۡ
يَوۡمَئِذٖ
لَّخَبِيرُۢ
١١
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-QariahTafsir ya Sura Al-Aadiyat

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia