Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

51. Sura Adh-Dhaariyat

Soma na usikilize Sura Adh-Dhaariyat nzima (Sura 51), inayojumuisha aya 60. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 26), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
51:35
فاخرجنا من كان فيها من المومنين ٣٥
فَأَخْرَجْنَا مَن كَانَ فِيهَا مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ ٣٥
فَأَخۡرَجۡنَا
مَن
كَانَ
فِيهَا
مِنَ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
٣٥
Kwa hivyo tutawatoa katika hao wale walio amini. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:36
فما وجدنا فيها غير بيت من المسلمين ٣٦
فَمَا وَجَدْنَا فِيهَا غَيْرَ بَيْتٍۢ مِّنَ ٱلْمُسْلِمِينَ ٣٦
فَمَا
وَجَدۡنَا
فِيهَا
غَيۡرَ
بَيۡتٖ
مِّنَ
ٱلۡمُسۡلِمِينَ
٣٦
Lakini hatukupata humo ila nyumba moja tu yenye Waislamu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:37
وتركنا فيها اية للذين يخافون العذاب الاليم ٣٧
وَتَرَكْنَا فِيهَآ ءَايَةًۭ لِّلَّذِينَ يَخَافُونَ ٱلْعَذَابَ ٱلْأَلِيمَ ٣٧
وَتَرَكۡنَا
فِيهَآ
ءَايَةٗ
لِّلَّذِينَ
يَخَافُونَ
ٱلۡعَذَابَ
ٱلۡأَلِيمَ
٣٧
Na tukaacha humo Ishara kwa ajili ya wanao iogopa adhabu chungu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:38
وفي موسى اذ ارسلناه الى فرعون بسلطان مبين ٣٨
وَفِى مُوسَىٰٓ إِذْ أَرْسَلْنَـٰهُ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ بِسُلْطَـٰنٍۢ مُّبِينٍۢ ٣٨
وَفِي
مُوسَىٰٓ
إِذۡ
أَرۡسَلۡنَٰهُ
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
بِسُلۡطَٰنٖ
مُّبِينٖ
٣٨
Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:39
فتولى بركنه وقال ساحر او مجنون ٣٩
فَتَوَلَّىٰ بِرُكْنِهِۦ وَقَالَ سَـٰحِرٌ أَوْ مَجْنُونٌۭ ٣٩
فَتَوَلَّىٰ
بِرُكۡنِهِۦ
وَقَالَ
سَٰحِرٌ
أَوۡ
مَجۡنُونٞ
٣٩
Lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:40
فاخذناه وجنوده فنبذناهم في اليم وهو مليم ٤٠
فَأَخَذْنَـٰهُ وَجُنُودَهُۥ فَنَبَذْنَـٰهُمْ فِى ٱلْيَمِّ وَهُوَ مُلِيمٌۭ ٤٠
فَأَخَذۡنَٰهُ
وَجُنُودَهُۥ
فَنَبَذۡنَٰهُمۡ
فِي
ٱلۡيَمِّ
وَهُوَ
مُلِيمٞ
٤٠
Basi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, na yeye ndiye wa kulaumiwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:41
وفي عاد اذ ارسلنا عليهم الريح العقيم ٤١
وَفِى عَادٍ إِذْ أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمُ ٱلرِّيحَ ٱلْعَقِيمَ ٤١
وَفِي
عَادٍ
إِذۡ
أَرۡسَلۡنَا
عَلَيۡهِمُ
ٱلرِّيحَ
ٱلۡعَقِيمَ
٤١
Na katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:42
ما تذر من شيء اتت عليه الا جعلته كالرميم ٤٢
مَا تَذَرُ مِن شَىْءٍ أَتَتْ عَلَيْهِ إِلَّا جَعَلَتْهُ كَٱلرَّمِيمِ ٤٢
مَا
تَذَرُ
مِن
شَيۡءٍ
أَتَتۡ
عَلَيۡهِ
إِلَّا
جَعَلَتۡهُ
كَٱلرَّمِيمِ
٤٢
Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:43
وفي ثمود اذ قيل لهم تمتعوا حتى حين ٤٣
وَفِى ثَمُودَ إِذْ قِيلَ لَهُمْ تَمَتَّعُوا۟ حَتَّىٰ حِينٍۢ ٤٣
وَفِي
ثَمُودَ
إِذۡ
قِيلَ
لَهُمۡ
تَمَتَّعُواْ
حَتَّىٰ
حِينٖ
٤٣
Na katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
51:44
فعتوا عن امر ربهم فاخذتهم الصاعقة وهم ينظرون ٤٤
فَعَتَوْا۟ عَنْ أَمْرِ رَبِّهِمْ فَأَخَذَتْهُمُ ٱلصَّـٰعِقَةُ وَهُمْ يَنظُرُونَ ٤٤
فَعَتَوۡاْ
عَنۡ
أَمۡرِ
رَبِّهِمۡ
فَأَخَذَتۡهُمُ
ٱلصَّٰعِقَةُ
وَهُمۡ
يَنظُرُونَ
٤٤
Wakaasi amri ya Mola wao Mlezi. Basi uliwanyakua moto wa radi nao wanaona. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: At-TurTafsir ya Sura Adh-Dhaariyat

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia