Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Adh-Dhaariyat 51:40 فاخذناه وجنوده فنبذناهم في اليم وهو مليم ٤٠

Ukurasa 522 · Juzuu 27

فَأَخَذۡنَٰهُ
وَجُنُودَهُۥ
فَنَبَذۡنَٰهُمۡ
فِي
ٱلۡيَمِّ
وَهُوَ
مُلِيمٞ
٤٠
Basi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, huku ni wa kulaumiwa.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Lessons from the Destruction of Fir`awn, `Ad, Thamud, and the People of Nuh

Allah the Exalted said,

وَفِى مُوسَى إِذْ أَرْسَلْنَهُ إِلَى فِرْعَوْنَ بِسُلْطَنٍ مُّبِينٍ

(And in Musa, when We sent him to Fir`awn with a manifest authority.) meaning, with clear proof and plain evidence,

فَتَوَلَّى بِرُكْنِه

…

Lessons from the Destruction of Fir`awn, `Ad, Thamud, and the People of Nuh

Allah the Exalted said,

وَفِى مُوسَى إِذْ أَرْسَلْنَهُ إِلَى فِرْعَوْنَ بِسُ

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

38. Na katika habari za Musa, tulipomtuma kwa Firauni na hoja wazi. 39. Lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: 'Huyu ni mchawi au mwendawazimu!' 40. Basi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, huku ni wa kulaumiwa. 41. Na katika habari za 'Adi tulipowatumia upepo wa kukata uzazi. 42. Haukuacha chochote ulichokifikia ila ulikifanya kama kilichonyambuka. 43. Na katika habari za Thamudi walipoambiwa: 'Jifurahisheni kwa muda mdogo tu.' 44. Wakaasi amri ya Mola wao Mlezi. Basi ukawanyakua moto wa radi nao wanaona. 45. Basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea. 46. Na kaumu ya Nuhu hapo mbele. Hakika hao walikuwa watu wapotovu.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia