Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Adh-Dhaariyat 51:21 وفي انفسكم افلا تبصرون ٢١

Ukurasa 521 · Juzuu 26

وَفِيٓ
أَنفُسِكُمۡۚ
أَفَلَا
تُبۡصِرُونَ
٢١
Na pia katika nafsi zenu - Je, hamwoni?
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Qualities of Those Who have Taqwa and Their Reward

Allah the Exalted informs about those who have Taqwa, that on the Day of their Return they will be amidst gardens and springs. To the contrary the miserable ones will be amidst torment, punishment, fire and chains. Allah said,

ءَاخِذِينَ مَآ ءَاتَهُمْ

…

Qualities of Those Who have Taqwa and Their Reward

Allah the Exalted informs about those who have Taqwa, that on the Day of their Return they will be a

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

1. Ninaapa kwa pepo zinazotawanya. 2. Na zinazobeba mizigo. 3. Na zinazokwenda kwa wepesi. 4. Na zinazogawanya kwa amri. 5. Hakika mnayoahidiwa bila ya shaka ni ya ukweli. 6. Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea. 7. Ninaapa kwa mbingu zenye njia. 8. Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayohitalifiana. 9. Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa. 10. Wazushi wameangamizwa. 11. Ambao wameghafilika katika ujinga. 12. Wanauliza: 'Ni lini hiyo siku ya malipo?' 13. Hiyo ni siku watakayoadhibiwa Motoni. 14. Onjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyokuwa mkiyafanyia haraka. 15. Hakika wacha Mungu watakuwa katika Mabustani ya mbinguni na chemchemi. 16. Wanapokea yale aliyowapa Mola wao Mlezi. Kwa hakika hao walikuwa kabla ya haya wakifanya mema. 17. Walikuwa wakilala kidogo tu usiku. 18. Na kabla ya alfajiri wakiomba maghfira. 19. Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiyeomba. 20. Na katika ardhi zipo Ishara kwa wenye yakini. 21. Na pia katika nafsi zenu - Je, hamwoni? 22. Na katika mbingu ziko riziki zenu na yale mnayoahidiwa. 23. Basi ninaapa kwa Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, hakika haya ni kweli kama ilivyo kweli kuwa nyinyi mnasema.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia