Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

44. Sura Ad-Dukhan

Soma na usikilize Sura Ad-Dukhan nzima (Sura 44), inayojumuisha aya 59. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 25), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
44:21
وان لم تومنوا لي فاعتزلون ٢١
وَإِن لَّمْ تُؤْمِنُوا۟ لِى فَٱعْتَزِلُونِ ٢١
وَإِن
لَّمۡ
تُؤۡمِنُواْ
لِي
فَٱعۡتَزِلُونِ
٢١
Na ikiwa hamniamini, basi jitengeni nami. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:22
فدعا ربه ان هاولاء قوم مجرمون ٢٢
فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنَّ هَـٰٓؤُلَآءِ قَوْمٌۭ مُّجْرِمُونَ ٢٢
فَدَعَا
رَبَّهُۥٓ
أَنَّ
هَٰٓؤُلَآءِ
قَوۡمٞ
مُّجۡرِمُونَ
٢٢
Ndipo akamwomba Mola wake Mlezi: Hakika watu hawa ni wakosefu. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:23
فاسر بعبادي ليلا انكم متبعون ٢٣
فَأَسْرِ بِعِبَادِى لَيْلًا إِنَّكُم مُّتَّبَعُونَ ٢٣
فَأَسۡرِ
بِعِبَادِي
لَيۡلًا
إِنَّكُم
مُّتَّبَعُونَ
٢٣
Mwenyezi Mungu akasema: Basi nenda na waja wangu usiku. Kwa yakini mtafuatwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:24
واترك البحر رهوا انهم جند مغرقون ٢٤
وَٱتْرُكِ ٱلْبَحْرَ رَهْوًا ۖ إِنَّهُمْ جُندٌۭ مُّغْرَقُونَ ٢٤
وَٱتۡرُكِ
ٱلۡبَحۡرَ
رَهۡوًاۖ
إِنَّهُمۡ
جُندٞ
مُّغۡرَقُونَ
٢٤
Na iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika wao hao ni jeshi litakalo zamishwa. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:25
كم تركوا من جنات وعيون ٢٥
كَمْ تَرَكُوا۟ مِن جَنَّـٰتٍۢ وَعُيُونٍۢ ٢٥
كَمۡ
تَرَكُواْ
مِن
جَنَّٰتٖ
وَعُيُونٖ
٢٥
Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:26
وزروع ومقام كريم ٢٦
وَزُرُوعٍۢ وَمَقَامٍۢ كَرِيمٍۢ ٢٦
وَزُرُوعٖ
وَمَقَامٖ
كَرِيمٖ
٢٦
Na mimea na vyeo vitukufu! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:27
ونعمة كانوا فيها فاكهين ٢٧
وَنَعْمَةٍۢ كَانُوا۟ فِيهَا فَـٰكِهِينَ ٢٧
وَنَعۡمَةٖ
كَانُواْ
فِيهَا
فَٰكِهِينَ
٢٧
Na neema walizo kuwa wakijistareheshea! 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:28
كذالك واورثناها قوما اخرين ٢٨
كَذَٰلِكَ ۖ وَأَوْرَثْنَـٰهَا قَوْمًا ءَاخَرِينَ ٢٨
كَذَٰلِكَۖ
وَأَوۡرَثۡنَٰهَا
قَوۡمًا
ءَاخَرِينَ
٢٨
Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wenginewe. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:29
فما بكت عليهم السماء والارض وما كانوا منظرين ٢٩
فَمَا بَكَتْ عَلَيْهِمُ ٱلسَّمَآءُ وَٱلْأَرْضُ وَمَا كَانُوا۟ مُنظَرِينَ ٢٩
فَمَا
بَكَتۡ
عَلَيۡهِمُ
ٱلسَّمَآءُ
وَٱلۡأَرۡضُ
وَمَا
كَانُواْ
مُنظَرِينَ
٢٩
La mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
44:30
ولقد نجينا بني اسراييل من العذاب المهين ٣٠
وَلَقَدْ نَجَّيْنَا بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ مِنَ ٱلْعَذَابِ ٱلْمُهِينِ ٣٠
وَلَقَدۡ
نَجَّيۡنَا
بَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
مِنَ
ٱلۡعَذَابِ
ٱلۡمُهِينِ
٣٠
Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: Al-JathiyahTafsir ya Sura Ad-Dukhan

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia