Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Ad-Dukhan 44:13 انى لهم الذكرى وقد جاءهم رسول مبين ١٣

Ukurasa 496 · Juzuu 25

أَنَّىٰ
لَهُمُ
ٱلذِّكۡرَىٰ
وَقَدۡ
جَآءَهُمۡ
رَسُولٞ
مُّبِينٞ
١٣
Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

Alarming the Idolators with News of the Day when the Sky will bring forth a visible Smoke

Allah says, these idolaters are playing about in doubt, i.e., the certain truth has come to them, but they doubt it and do not believe in it. Then Allah says, warning and threatening them:

فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْ

…

Alarming the Idolators with News of the Day when the Sky will bring forth a visible Smoke

Allah says, these idolaters are playing about in doubt, i.e.,

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

1. Ha Mim. 2. Ninaapa kwa Kitabu kinachobainisha. 3. Hakika Sisi tumekiteremsha katika usiku uliobarikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji. 4. Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hekima. 5. Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenye kutuma. 6. Ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 7. Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini. 8. Hakuna mungu ila Yeye; anahuisha na anafisha- Mola Mlezi wenu na Mola Mlezi wa baba zenu wa mwanzo. 9. Lakini wao wanacheza katika shaka. 10. Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapoleta moshi ulio dhahiri. 11. Utakaowafunika watu. Hii ni adhabu chungu! 12. Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini. 13. Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha. 14. Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: 'Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu.' 15. Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile! 16. Siku tutakayoyashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia