Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

80. Sura Abasa

Soma na usikilize Sura Abasa nzima (Sura 80), inayojumuisha aya 42. Imeteremshwa Makka (Juzuu ya 30), na inajumuisha maandishi kamili ya Kiarabu yenye matamshi ya herufi, tarjuma, tafsir, maana ya neno kwa neno, na katika sauti ya Maher Al-Muaiqly, Abdul Basit na wasomaji wengine.

taarifa
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
80:17
قتل الانسان ما اكفره ١٧
قُتِلَ ٱلْإِنسَـٰنُ مَآ أَكْفَرَهُۥ ١٧
قُتِلَ
ٱلۡإِنسَٰنُ
مَآ
أَكۡفَرَهُۥ
١٧
Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:18
من اي شيء خلقه ١٨
مِنْ أَىِّ شَىْءٍ خَلَقَهُۥ ١٨
مِنۡ
أَيِّ
شَيۡءٍ
خَلَقَهُۥ
١٨
Kwa kitu gani amemuumba? 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:19
من نطفة خلقه فقدره ١٩
مِن نُّطْفَةٍ خَلَقَهُۥ فَقَدَّرَهُۥ ١٩
مِن
نُّطۡفَةٍ
خَلَقَهُۥ
فَقَدَّرَهُۥ
١٩
Kwa tone la manii, akamuumba na akamkadiria. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:20
ثم السبيل يسره ٢٠
ثُمَّ ٱلسَّبِيلَ يَسَّرَهُۥ ٢٠
ثُمَّ
ٱلسَّبِيلَ
يَسَّرَهُۥ
٢٠
Kisha akamsahilishia njia. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:21
ثم اماته فاقبره ٢١
ثُمَّ أَمَاتَهُۥ فَأَقْبَرَهُۥ ٢١
ثُمَّ
أَمَاتَهُۥ
فَأَقۡبَرَهُۥ
٢١
Kisha akamfisha, akamtia kaburini. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:22
ثم اذا شاء انشره ٢٢
ثُمَّ إِذَا شَآءَ أَنشَرَهُۥ ٢٢
ثُمَّ
إِذَا
شَآءَ
أَنشَرَهُۥ
٢٢
Kisha apendapo atamfufua. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:23
كلا لما يقض ما امره ٢٣
كَلَّا لَمَّا يَقْضِ مَآ أَمَرَهُۥ ٢٣
كـَلَّا
لَمَّا
يَقۡضِ
مَآ
أَمَرَهُۥ
٢٣
La! Hajamaliza aliyo muamuru. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:24
فلينظر الانسان الى طعامه ٢٤
فَلْيَنظُرِ ٱلْإِنسَـٰنُ إِلَىٰ طَعَامِهِۦٓ ٢٤
فَلۡيَنظُرِ
ٱلۡإِنسَٰنُ
إِلَىٰ
طَعَامِهِۦٓ
٢٤
Hebu mtu na atazame chakula chake. 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:25
انا صببنا الماء صبا ٢٥
اَنَّا صَبَبْنَا ٱلْمَآءَ صَبًّۭا ٢٥
أَنَّا
صَبَبۡنَا
ٱلۡمَآءَ
صَبّٗا
٢٥
Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
80:26
ثم شققنا الارض شقا ٢٦
ثُمَّ شَقَقْنَا ٱلْأَرْضَ شَقًّۭا ٢٦
ثُمَّ
شَقَقۡنَا
ٱلۡأَرۡضَ
شَقّٗا
٢٦
Tena tukaipasua pasua ardhi kwa nguvu, 1
Tafsir
Mafunzo
Tafakari
Sura Inayofuata: At-TakwyrTafsir ya Sura Abasa

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka kwenye Qur'ani
Aya ya Qur'ani ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia