Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Aali-Imran 3:140 ان يمسسكم قرح فقد مس القوم قرح مثله وتلك الايام نداولها بين الناس وليعلم الله الذين امنوا ويتخذ منكم شهداء والله لا يحب الظالمين ١٤٠

Ukurasa 67 · Juzuu 4

إِن
يَمۡسَسۡكُمۡ
قَرۡحٞ
فَقَدۡ
مَسَّ
ٱلۡقَوۡمَ
قَرۡحٞ
مِّثۡلُهُۥۚ
وَتِلۡكَ
ٱلۡأَيَّامُ
نُدَاوِلُهَا
بَيۡنَ
ٱلنَّاسِ
وَلِيَعۡلَمَ
ٱللَّهُ
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَيَتَّخِذَ
مِنكُمۡ
شُهَدَآءَۗ
وَٱللَّهُ
لَا
يُحِبُّ
ٱلظَّٰلِمِينَ
١٤٠
Ikiwa mtaguswa na majeraha, basi kwa hakika hao watu wengine walikwishapatwa na majeraha mfano wake. Na siku za namna hii tunawaletea watu kwa zamu, ili Mwenyezi Mungu awajue wale walioamini na awateue miongoni mwenu wanaokufa kwa ajili ya Dini (Mashahidi). Na Mwenyezi Mungu hawapendi madhalimu.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Ibn Kathir (Abridged)

The Wisdom Behind the Losses Muslims Suffered During Uhud

Allah states to His believing servants who suffered losses in the battle of Uhud, including seventy dead,

قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِكُمْ سُنَنٌ

(137... Many similar ways (and mishaps of life) were faced before you), For the previous nations who f

…

The Wisdom Behind the Losses Muslims Suffered During Uhud

Allah states to His believing servants who suffered losses in the battle of Uhud, including

…
Tazama Tafsir

Soma katika Muktadha

137. Tayari zimepita kabla yenu nyendo nyingi. Basi tembeeni katika ulimwengu na muangalie vipi ulikuwa mwisho wa wanaokanusha. 138. Huu ni ubainisho kwa watu wote, na ni uongofu, na mawaidha kwa wacha Mungu. 139. Wala msilegee, wala msihuzunike, kwani nyinyi ndio wa juu ikiwa nyinyi ni Waumini. 140. Ikiwa mtaguswa na majeraha, basi kwa hakika hao watu wengine walikwishapatwa na majeraha mfano wake. Na siku za namna hii tunawaletea watu kwa zamu, ili Mwenyezi Mungu awajue wale walioamini na awateue miongoni mwenu wanaokufa kwa ajili ya Dini (Mashahidi). Na Mwenyezi Mungu hawapendi madhalimu. 141. Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walioamini na awafutilie mbali makafiri.

- Swahili Translation - Rowad Translation Center

Endelea Kusoma

Maelezo na Tafakari

Huna maelezo au tafakari yoyote kuhusu aya hii.

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia