Entrar
Entrar
Entrar
Selecione o idioma
Voltar aos Planos de Aprendizagem

Kwa Nini Allah Hutujaribu? Jinsi ya Kupata Nguvu na Hekima Katika Mitihani

NovoLivre
Kwa Nini Allah Hutujaribu? Jinsi ya Kupata Nguvu na Hekima Katika Mitihani

Duração

Cada aula curta leva menos de 10 minutos para ser concluída 5 aulas no total.

Descrição

Safari hii ya siku 5 inakualika kuchunguza jinsi mitihani ya Allah isivyo adhabu bali ni fursa za utakaso na ukuaji. Kwa kurejea katika Qur’ani, Sunnah, na maisha ya Mitume, utagundua jinsi rehema ya Allah inavyojificha ndani ya kila ugumu, na jinsi subira, tawakkul, na shukrani zinavyoweza kubadilisha maumivu kuwa nguvu. Mwisho wa safari hii, utaanza kuona mitihani si kama mwisho, bali kama mwanzo mpya wa ustawi wako kiroho.

Mada Zitakazojadiliwa:
Hekima iliyo nyuma ya mitihani ya maisha

Rehema iliyofichika ndani ya ugumu

Subira (sabr) kama nguvu

Kumtegemea Allah (tawakkul) katika mpango Wake

Kupona na kukua baada ya ugumu

Anza leo; chukua hatua moja inayokukaribisha zaidi kwenye uwazi wa kiroho na utulivu wa moyo.

Tunapenda kusikia maoni yako: [email protected]

Sobre o autor

  • Timu ya QuranReflect Mpango huu wa kujifunza umetayarishwa na Timu ya QuranReflect ili kuwasaidia wanaojifunza kuhusiana na Qur'ani kwa njia iliyo na mpangilio na yenye manufaa kwa maisha ya kila siku. Maudhui yameundwa ili yawe yenye maana na thabiti katika uelewa sahihi, yakihimiza tafakari na kuimarisha muunganiko wa kina na Qur'ani katika kila hatua.

    Uhakiki na Mapitio
    Mipango haya ya Mafunzo yameandaliwa na Timu ya Mapitio ya Quran Foundation chini ya usimamizi wa Sh. Hammad Fahim Maudhui yote yamepitia mapitio ya kina ili kuhakikisha usahihi, na marejeo yote yamethibitishwa kupitia vyanzo sahihi na vya kuaminika. Ikiwa una maswali au maoni yoyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia: [email protected]

Mantenha-se conectado ao Alcorão ❤️

Breves lembretes significativos para recomeçar, refletir e manter a conexão com o Alcorão.

Leia, ouça, pesquise e reflita sobre o Quran

Quran.com é uma plataforma confiável usada por milhões de pessoas em todo o mundo para ler, pesquisar, ouvir e refletir sobre o Alcorão em vários idiomas. Ela oferece traduções, tafsir, recitações, tradução palavra por palavra e ferramentas para um estudo mais aprofundado, tornando o Alcorão acessível a todos.

Como uma Sadaqah Jariyah, o Quran.com se dedica a ajudar as pessoas a se conectarem profundamente com o Alcorão. Apoiado pela Quran Foundation , uma organização sem fins lucrativos 501(c)(3), o Quran.com continua a crescer como um recurso gratuito e valioso para todos, Alhamdulillah.

Navegar
Casa
Rádio Quran
Recitadores
Sobre nós
Desenvolvedores
Atualizações de produtos
Comentários
Ajuda
Doar
Nossos Projetos
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran Space
Quran.ai
Quran Audio
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Projetos sem fins lucrativos de propriedade, administrados ou patrocinados pela Quran Foundation
Links populares
Duas do Alcorão
Versículo do Alcorão do dia
Ayatul Kursi
Surah Yaseen
Surah Al Mulk
Surah Ar-Rahman
Surah Al Waqi'ah
Surah Al Kahf
Surah Al Muzzammil
Mapa do sitePrivacidadeTermos e Condições
© 2026 Quran.com. Todos os direitos reservados
Contribuir