An-Naml 27:50 ومكروا مكرا ومكرنا مكرا وهم لا يشعرون ٥٠
وَمَكَرُواْ
مَكۡرٗا
وَمَكَرۡنَا
مَكۡرٗا
وَهُمۡ
لَا
يَشۡعُرُونَ
٥٠
And ˹so˺ they made a plan, but We too made a plan, while they were unaware.
— Dr. Mustafa Khattab, The Clear Quran
And they planned a plan, and We planned a plan, while they perceived not.
— Saheeh International
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi wakazipanga hila hizi za kumuangamiza Ṣāliḥ na watu wake kwa kuwafanyia vitimbi, tukamuokoa Nabii wetu Ṣāliḥ, amani imshukie, na tukawapatiliza kwa mateso kwa ghafla na hali wao hawatazamii vitimbi vyetu kwao kama malipo ya vitimbi vyao.
Basi wakazipanga hila hizi za kumuangamiza Ṣāliḥ na watu wake kwa kuwafanyia vitimbi, tukamuokoa Nabii wetu Ṣāliḥ, amani imshukie, na tukawapatiliza k…