Comei de todas as coisas lícitas com que Deus vos agraciou e temei-O, se fordes fiéis.
Tafsirs
Camadas
Lições
Reflexões
Respostas
Qiraat
Hadith
Na mstarehe, enyi Waumini, kwa halali nzuri Aliyowapa Mwenyezi Mungu na kuwatunukia. Na mcheni Mwenyezi Mungu kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Kwani kumuamini kwenu Mwenyezi Mungu kunawalazimisha nyinyi kumcha Yeye na kumtunza[.